Mhubiri 12:6
Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha, 2 au bakuli la dhahabu halijavunjika; 1 kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi, 2 au gurudumu kuvunjika kisimani, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, 2 na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. 1
Cross References
Zechariah 4:2Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikajibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu tupu, nacho kina bakuli juu yake na taa zake saba juu yake, tena iko mirija saba ya kuleta mafuta, kwenye taa zote zilizo juu yake.