Mhubiri 12:9
Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! 2 Kila kitu ni ubatili!” 1 Hitimisho La Mambo
10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli.
Cross References
1 Kings 5:12Bwana akampa Solomoni hekima, kama alivyomwahidi. Palikuwepo na uhusiano wa amani kati ya Hiramu na Solomoni, na wote wawili wakafanya mkataba.
1 Kings 10:8Heri watu wako! Heri hawa maafisa wako wasimamao mbele yako daima na kusikia hekima yako!
Proverbs 10:1Mithali za Solomoni: 1 Mwana mwenye hekima 2 huleta furaha kwa baba yake, 1 lakini mwana mpumbavu 2 huleta huzuni kwa mama yake. 1
Daniel 12:3Wale wenye hekima watangʼaa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watangʼaa kama nyota milele na milele.