The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 3 › Mhubiri 3:1

Mhubiri 3:1

Kuna wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 nayo majira kwa kila tendo chini ya mbingu: 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To every thing there is a season, and a time to every purpose under the heaven:

In Context

2wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa, 2 wakati wa kupanda na wakati wa kungʼoa yaliyopandwa, 2

Read all of Mhubiri 3

Cross References

2 Chronicles 33:12Katika dhiki yake akamsihi Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.

Proverbs 24:27Maliza kazi zako za nje, 2 nawe uweke mashamba yako tayari, 2 baada ya hayo, jenga nyumba yako. 1

Ecclesiastes 2:3Nikajaribu kujifurahisha kwa mvinyo na kukumbatia upumbavu, huku bado akili yangu inaniongoza kwa hekima. Nilitaka kuona ni lipi bora watu wafanye kwa siku chache wanazoishi chini ya mbingu.

Ecclesiastes 3:17Nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Mungu atawaleta hukumuni 2 wote wawili wenye haki na waovu, 1 kwa maana kutakuwako na wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 wakati kwa ajili ya kila tendo.”

Ecclesiastes 8:5Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, 2 moyo wa hekima utajua wakati muafaka 2 na jinsi ya kutenda. 1

Jeremiah 46:17Huko watatangaza, 2 ‘Farao mfalme wa Misri ni makelele tu, 2 amekosa wasaa wake.’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 3:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Mhubiri 3Mhubiri 3:2 →