The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 8 › Mhubiri 8:5

Mhubiri 8:5

Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, 2 moyo wa hekima utajua wakati muafaka 2 na jinsi ya kutenda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whoso keepeth the commandment shall feel no evil thing: and a wise man’s heart discerneth both time and judgment.

In Context

4Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?” 1

6Kwa maana kuna wakati muafaka 2 na utaratibu wa kila jambo, 1 ingawa huzuni ya mwanadamu 2 huwa nzito juu yake. 1

Read all of Mhubiri 8

Cross References

Exodus 1:20Kwa hiyo Mungu akawatendea mema wakunga hao. Waisraeli wakaongezeka na kuendelea kuwa wengi zaidi.

Psalms 119:6Hivyo mimi sitaaibishwa 2 ninapozingatia amri zako zote. 1

Ecclesiastes 2:14Mtu mwenye hekima ana macho katika kichwa chake, 2 lakini mpumbavu anatembea gizani; 1 lakini nikaja kuona kwamba 2 wote wawili hatima yao inafanana.

Ecclesiastes 10:2Moyo wa mwenye hekima huelekea kuume, 2 lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto. 1

Luke 12:56Enyi wanafiki! Mnajua jinsi ya kutambua kuonekana kwa dunia na anga. Inakuwaje basi kwamba mnashindwa kutambua wakati huu wa sasa?

Acts 4:19Lakini Petro na Yohana wakajibu, “Amueni ninyi wenyewe iwapo ni haki mbele za Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 8:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 8:4Mhubiri 8Mhubiri 8:6 →