The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 3 › Mhubiri 3:17

Mhubiri 3:17

Nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Mungu atawaleta hukumuni 2 wote wawili wenye haki na waovu, 1 kwa maana kutakuwako na wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 wakati kwa ajili ya kila tendo.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I said in mine heart, God shall judge the righteous and the wicked: for there is a time there for every purpose and for every work.

In Context

16Pia nikaona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Mahali pa kutolea hukumu, 2 uovu ulikuwepo, 1 mahali pa kupatia haki, 2 uovu ulikuwepo.

18Pia nikafikiri, “Kuhusu wanadamu, Mungu huwajaribu ili wajione kwamba wao ni kama wanyama.

Read all of Mhubiri 3

Cross References

Genesis 18:25Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”

Ecclesiastes 1:16Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.”

Ecclesiastes 3:1Kuna wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 nayo majira kwa kila tendo chini ya mbingu: 2

Ecclesiastes 11:9Furahi ewe kijana, wakati ungali kijana, 2 moyo wako na ukupe furaha 2 katika siku za ujana wako. 1 Fuata njia za moyo wako 2 na chochote macho yako yaonayo, 1 lakini ujue kwamba kwa ajili ya haya yote 2 Mungu atakuleta hukumuni. 1

Jeremiah 29:10Hili ndilo asemalo Bwana: “Miaka sabini itakapotimia kwa ajili ya Babeli, nitakuja kwenu na kutimiza ahadi yangu ya rehema ya kuwarudisha mahali hapa.

Daniel 12:4Lakini wewe Danieli, yafunge na kuyatia muhuri maneno ya kitabu hiki mpaka wakati wa mwisho. Wengi watakwenda huku na huko, na maarifa yataongezeka.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 3:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 3:16Mhubiri 3Mhubiri 3:18 →