The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 3 › Mhubiri 3:16

Mhubiri 3:16

Pia nikaona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Mahali pa kutolea hukumu, 2 uovu ulikuwepo, 1 mahali pa kupatia haki, 2 uovu ulikuwepo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And moreover I saw under the sun the place of judgment, that wickedness was there; and the place of righteousness, that iniquity was there.

In Context

15Chochote kilichopo kilishakuwepo, 2 na kitakachokuwepo kimekwishakuwepo kabla; 2 naye Mungu huyaita yale yaliyopita yarudi tena.

17Nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Mungu atawaleta hukumuni 2 wote wawili wenye haki na waovu, 1 kwa maana kutakuwako na wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 wakati kwa ajili ya kila tendo.”

Read all of Mhubiri 3

Cross References

Psalms 58:1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? 2 Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 1

Psalms 82:2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

Ecclesiastes 5:8Kama ukiona maskini wanaonewa katika nchi, hukumu na haki vikipotoshwa, usishangazwe na mambo hayo, kwa maana afisa mmoja anaangaliwa na aliye juu yake zaidi na juu ya hao wawili kuna wengine walio juu zaidi yao.

Micah 2:2Wanatamani mashamba na kuyakamata, 2 pia nyumba na kuzichukua. 1 Wanamlaghai mwanaume nyumba yake, 2 mwanadamu mwenzake urithi wake.

Zephaniah 3:3Maafisa wake ni simba wangurumao, 2 watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni, 1 ambao hawabakizi chochote 2 kwa ajili ya asubuhi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 3:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 3:15Mhubiri 3Mhubiri 3:17 →