Mhubiri 3:20
Wote huenda mahali panapofanana; wote hutoka mavumbini, mavumbini wote hurudi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All go unto one place; all are of the dust, and all turn to dust again.
In Context
21Ni nani ajuaye kama roho ya mtu huenda juu na roho ya mnyama hushuka chini ardhini?”
Cross References
Genesis 25:8Ndipo Abrahamu akapumua pumzi ya mwisho na akafa akiwa mwenye umri mzuri, mzee aliyeshiba siku, naye akakusanywa pamoja na watu wake.
Numbers 27:13Baada ya kuiona, wewe pia utakusanywa pamoja na watu wako kama ndugu yako Aroni alivyokusanywa,
Job 10:9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. 2 Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 1
Job 14:14Je, kama mtu akifa, aweza kuishi tena? 2 Siku zote za kazi zangu ngumu 2 nitangojea kufanywa upya kwangu. 1
Job 30:24“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji, 2 anapoomba msaada katika shida yake. 1
Psalms 49:14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, + 49:14 Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu. 2 nacho kifo kitawala. 1 Wanyofu watawatawala asubuhi, 2 maumbile yao yataozea kaburini, 2 mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 1