Mhubiri 3:5
wakati wa kutawanya mawe na wakati wa kukusanya mawe, 2 wakati wa kukumbatia na wakati wa kutokumbatia, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4wakati wa kulia na wakati wa kucheka, 2 wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza, 2
6wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza, 2 wakati wa kuweka na wakati wa kutupa, 2
Cross References
Joshua 4:3nawe uwaambie wachukue mawe kumi na mawili katikati ya Mto Yordani, palepale makuhani waliposimama, wayachukue na kuyaweka mahali mtakapokaa usiku huu wa leo.”
1 Samuel 21:4Lakini kuhani akamjibu Daudi, “Sina mkate wowote wa kawaida kwa sasa. Hata hivyo, ipo hapa mikate iliyowekwa wakfu, iwapo watu wamejitenga na wanawake.”
2 Kings 3:25Wakaiharibu miji, kila mtu akatupa jiwe juu ya kila shamba zuri mpaka likafunikwa. Wakaziba chemchemi zote na kukata kila mti mzuri. Kir-Haresethi peke yake ndio uliobaki na mawe yake yakiwa mahali pake. Lakini hata hivyo watu waliokuwa na makombeo wakauzunguka na kuushambulia vilevile.
Joel 2:16Wakusanyeni watu, 2 wekeni wakfu kusanyiko; 1 waleteni pamoja wazee, 2 wakusanyeni watoto, 2 wale wanyonyao maziwa. 1 Bwana arusi na atoke chumbani mwake 2 na bibi arusi naye atoke katika chumba chake. 1