The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 3 › Mhubiri 3:4

Mhubiri 3:4

wakati wa kulia na wakati wa kucheka, 2 wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A time to weep, and a time to laugh; a time to mourn, and a time to dance;

In Context

3wakati wa kuua na wakati wa kuponya, 2 wakati wa kubomoa, 2 na wakati wa kujenga, 2

5wakati wa kutawanya mawe na wakati wa kukusanya mawe, 2 wakati wa kukumbatia na wakati wa kutokumbatia, 2

Read all of Mhubiri 3

Cross References

Genesis 21:6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.”

2 Samuel 6:16Ikawa Sanduku la Bwana lilipokuwa linaingia katika Mji wa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani. Naye alipomwona Mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele za Bwana, akamdharau moyoni mwake.

Nehemiah 9:1Katika siku ya ishirini na nne ya mwezi ule ule, Waisraeli walikusanyika pamoja, wakifunga na kuvaa nguo za gunia na kujitia mavumbi vichwani mwao.

Psalms 126:1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni, 2 tulikuwa kama watu walioota ndoto. 1

Ecclesiastes 7:14Nyakati zikiwa nzuri, ufurahi, 2 lakini nyakati zikiwa mbaya, tafakari: 1 Mungu amefanya hiyo moja, 2 naam, sanjari + 7:14 Sanjari hapa maana yake mwandamano wa vitu, wanyama au watu. na hiyo nyingine. 1 Kwa hiyo, mwanadamu hawezi kugundua 2 kitu chochote kuhusu maisha yake ya baadaye.

Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 3:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 3:3Mhubiri 3Mhubiri 3:5 →