Mhubiri 4:11
Pia, kama wawili wakilala pamoja 2 watapashana joto. 1 Lakini ni vipi mtu aweza 2 kujipasha joto mwenyewe? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Again, if two lie together, then they have heat: but how can one be warm alone?
In Context
Cross References
1 Kings 1:2Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, “Turuhusu tumtafute kijana mwanamwali bikira amhudumie mfalme na kumtunza. Anaweza kulala pembeni mwake ili bwana wetu mfalme apate joto.”