The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 4 › Mhubiri 4:10

Mhubiri 4:10

Kama mmoja akianguka, 2 mwenzake atamwinua. 1 Lakini ni jambo la kuhuzunisha 2 kwa mtu yule aangukaye 2 naye hana wa kumwinua! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For if they fall, the one will lift up his fellow: but woe to him that is alone when he falleth; for he hath not another to help him up.

In Context

9Wawili ni afadhali kuliko mmoja, 2 kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao: 1

11Pia, kama wawili wakilala pamoja 2 watapashana joto. 1 Lakini ni vipi mtu aweza 2 kujipasha joto mwenyewe? 1

Read all of Mhubiri 4

Cross References

Genesis 4:8Basi Kaini akamwambia ndugu yake Abeli, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.

Exodus 32:21Mose akamwambia Aroni, “Watu hawa walikufanyia nini, hata ukawaongoza kufanya dhambi kubwa hivyo?”

1 Samuel 23:16Naye Yonathani mwana wa Sauli akamwendea Daudi huko Horeshi na kumtia moyo kusimama imara katika imani yake kwa Mungu.

2 Samuel 12:7Ndipo Nathani akamwambia Daudi, “Wewe ndiwe huyo mtu! Hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli, nilikuokoa kutokana na mkono wa Sauli.

Job 4:3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, 2 jinsi ambavyo umeitia nguvu 2 mikono iliyokuwa dhaifu. 1

Luke 22:31Yesu akasema, “Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 4:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 4:9Mhubiri 4Mhubiri 4:11 →