Mhubiri 4:12
Ingawa mtu mmoja aweza kushindwa, 2 watu wawili wanaweza 2 kumkabili adui na kumshinda. 1 Kamba ya nyuzi tatu 2 haikatiki kwa urahisi. 1 Maendeleo Ni Ubatili
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if one prevail against him, two shall withstand him; and a threefold cord is not quickly broken.
In Context
13Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo.
Cross References
2 Samuel 23:16Basi mashujaa hao watatu wakapenya katikati ya Wafilisti, wakaenda kuchota maji kutoka kwa kisima kilicho karibu na lango la Bethlehemu, wakamletea Daudi. Lakini Daudi akakataa kuyanywa. Badala yake, aliyamimina mbele za Bwana.
2 Samuel 23:23Yeye aliheshimiwa zaidi ya wale Thelathini, lakini hakujumuishwa miongoni mwa wale Watatu. Daudi akamweka kuwa kiongozi wa walinzi wake. 1
Ephesians 4:3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.