The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 4 › Mhubiri 4:7

Mhubiri 4:7

Tena nikaona kitu kingine kilicho ubatili chini ya jua: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then I returned, and I saw vanity under the sun.

In Context

6Afadhali konzi moja pamoja 2 na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu 2 na kukimbiza upepo.

8Kulikuwepo mwanadamu aliye peke yake, 2 hakuwa na mwana wala ndugu. 1 Hapakuwa na mwisho wa kazi yake, 2 hata hivyo macho yake 2 hayakutosheka na utajiri wake. 1 Aliuliza, “Ninajitaabisha hivi kwa ajili ya nani, 2 nami kwa nini ninajinyima kufurahia?” 1 Hili pia ni ubatili, 2 ni shughuli yenye taabu! 1

Read all of Mhubiri 4

Cross References

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 4:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 4:6Mhubiri 4Mhubiri 4:8 →