Mhubiri 4:6
Afadhali konzi moja pamoja 2 na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu 2 na kukimbiza upepo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Better is an handful with quietness, than both the hands full with travail and vexation of spirit.
In Context
5Mpumbavu hukunja mikono yake 2 na kujiangamiza mwenyewe. 1
7Tena nikaona kitu kingine kilicho ubatili chini ya jua: 1
Cross References
Proverbs 15:16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, 2 kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 1
Proverbs 16:8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki 2 kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 1
Ecclesiastes 1:14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 1