The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 5 › Mhubiri 5:11

Mhubiri 5:11

Mali ikiongezeka, ndivyo walaji 2 wanavyoongezeka. 1 Hii nayo inamfaidia nini mwenye mali 2 isipokuwa ni kushibisha macho yake? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When goods increase, they are increased that eat them: and what good is there to the owners thereof, saving the beholding of them with their eyes?

In Context

10Yeyote apendaye fedha kamwe 2 hatosheki na fedha; 1 yeyote apendaye utajiri kamwe 2 hatosheki na kipato chake. 2 Hili nalo pia ni ubatili. 1

12Usingizi wa kibarua ni mtamu, 2 awe amekula kidogo au kingi, 1 lakini wingi wa mali 2 humnyima tajiri usingizi.

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Genesis 12:16Kwa ajili ya Sarai, Farao akamtendea Abramu mema, naye Abramu akapata kondoo, ngʼombe, punda, ngamia na watumishi wa kiume na wa kike.

Genesis 13:5Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ngʼombe na mahema.

1 Kings 4:22Mahitaji ya Solomoni ya kila siku yalikuwa kori thelathini + 4:22 Kori 30 ni sawa na madebe 360. za unga laini, kori sitini + 4:22 Kori 60 ni sawa na madebe 720. za unga wa kawaida.

Nehemiah 5:17Zaidi ya hayo, Wayahudi na maafisa 150 walikula mezani pangu, pamoja na wale waliotujia kutoka mataifa jirani.

Proverbs 23:5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1

Ecclesiastes 11:9Furahi ewe kijana, wakati ungali kijana, 2 moyo wako na ukupe furaha 2 katika siku za ujana wako. 1 Fuata njia za moyo wako 2 na chochote macho yako yaonayo, 1 lakini ujue kwamba kwa ajili ya haya yote 2 Mungu atakuleta hukumuni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:10Mhubiri 5Mhubiri 5:12 →