bible.software › Mhubiri › Mhubiri 5 › Mhubiri 5:12
Mhubiri 5:12
Usingizi wa kibarua ni mtamu, 2 awe amekula kidogo au kingi, 1 lakini wingi wa mali 2 humnyima tajiri usingizi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sleep of a labouring man is sweet, whether he eat little or much: but the abundance of the rich will not suffer him to sleep.
In Context
11Mali ikiongezeka, ndivyo walaji 2 wanavyoongezeka. 1 Hii nayo inamfaidia nini mwenye mali 2 isipokuwa ni kushibisha macho yake? 1
13Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: 1 Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima 2 na kuleta madhara kwa mwenye mali, 1
Read all of Mhubiri 5
Cross References
Psalms 4:8Nitajilaza chini na kulala kwa amani, 2 kwa kuwa wewe peke yako, Ee Bwana, 2 waniwezesha kukaa kwa salama.
Proverbs 3:24ulalapo, hautaogopa; 2 ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 1
This Verse In Other Editions
Study Mhubiri 5:12