Proverbs 23:5
Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, 2 uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 1
6Usile chakula cha mtu mchoyo, 2 usitamani vyakula vyake vitamu, 1
Cross References
Job 1:14akaja mjumbe kwa Ayubu na kusema, “Maksai walikuwa wakilima na punda walikuwa wakilisha karibu nao,
Psalms 39:6Hakika kila binadamu ni kama njozi 2 aendapo huku na huko: 1 hujishughulisha na mengi lakini ni ubatili; 2 anakusanya mali nyingi, 2 wala hajui ni nani atakayeifaidi. 1
Proverbs 27:24Kwa kuwa utajiri haudumu milele, 2 nayo taji haidumu vizazi vyote. 1
Ecclesiastes 5:13Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: 1 Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima 2 na kuleta madhara kwa mwenye mali, 1
Isaiah 55:2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1
Jeremiah 39:12“Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.”