The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 5 › Mhubiri 5:17

Mhubiri 5:17

Siku zake zote hula gizani, 2 pamoja na fadhaa kubwa, 2 mateso na hasira.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All his days also he eateth in darkness, and he hath much sorrow and wrath with his sickness.

In Context

16Hili nalo ni baya la kusikitisha: 1 Kama vile mtu ajavyo, vivyo hivyo huondoka, 2 naye anapata faida gani, 2 maadamu hutaabika kwa ajili ya upepo? 1

18Ndipo nikatambua kwamba ni vyema na sahihi kwa mtu kula na kunywa na kutosheka katika kazi yake ngumu chini ya jua katika siku chache za maisha yake Mungu alizompa, kwa maana hili ndilo fungu lake.

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1

2 Kings 1:2Basi Ahazia alikuwa ameanguka huko Samaria kutoka baraza ya chumba chake cha juu, akaumia. Hivyo akatuma wajumbe, akiwaambia, “Nendeni mkaulize kwa Baal-Zebubu, mungu wa Ekroni, mkaone kama nitapona kutokana na kuumia huku.”

2 Kings 5:27Ukoma wa Naamani utakushika wewe na wazao wako milele.” Kisha Gehazi akaondoka mbele ya Elisha, mwenye ukoma, mweupe kama theluji.

2 Chronicles 24:24Ingawa jeshi la Waaramu lilikuwa limekuja na watu wachache tu, Bwana akatia mikononi mwao jeshi kubwa kuliko lao. Kwa sababu Yuda walikuwa wamemwacha Bwana, Mungu wa baba zao, hukumu ilitekelezwa juu ya Yoashi.

Psalms 78:33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili 2 na miaka yao katika vitisho. 1

Psalms 102:9Ninakula majivu kama chakula changu 2 na nimechanganya kinywaji changu na machozi 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:16Mhubiri 5Mhubiri 5:18 →