Genesis 3:17
Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, 2 nawe utakula mimea ya shambani. 1
Cross References
Genesis 3:6Mwanamke alipoona ya kuwa tunda la mti huo lilikuwa zuri kwa chakula na la kupendeza macho, tena linatamanika kwa kujipatia hekima, basi akachuma katika matunda yake, akala, pia akampa mumewe, aliyekuwa pamoja naye, naye akala.
Genesis 5:29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.”
Job 5:6Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, 2 wala udhia hauchipui kutoka ardhini. 1
Job 14:1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke 2 siku zake ni chache nazo zimejaa taabu. 1
Psalms 90:7Tumeangamizwa kwa hasira yako 2 na tumetishwa kwa ghadhabu yako. 1
Ecclesiastes 1:2“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” 2 Mhubiri anasema. 1 “Ubatili mtupu! 2 Kila kitu ni ubatili.” 1