Mhubiri 5:16
Hili nalo ni baya la kusikitisha: 1 Kama vile mtu ajavyo, vivyo hivyo huondoka, 2 naye anapata faida gani, 2 maadamu hutaabika kwa ajili ya upepo? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Siku zake zote hula gizani, 2 pamoja na fadhaa kubwa, 2 mateso na hasira.
Cross References
1 Samuel 12:21Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Ecclesiastes 1:3Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote 2 anayotaabikia chini ya jua? 1
Ecclesiastes 5:13Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: 1 Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima 2 na kuleta madhara kwa mwenye mali, 1
Jeremiah 2:8Makuhani hawakuuliza, 2 ‘Yuko wapi Bwana?’ 1 Wale wanaoshughulikia sheria hawakunijua mimi; 2 viongozi waliasi dhidi yangu. 1 Manabii walitabiri kwa jina la Baali, 2 wakifuata sanamu zisizofaa. 1
Mark 8:36Je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akayapoteza maisha yake?