The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 6 › Mhubiri 6:8

Mhubiri 6:8

Mtu mwenye hekima ana faida gani 2 zaidi ya mpumbavu? 1 Mtu maskini anapata faida gani 2 kwa kujua jinsi ya kujistahi 2 mbele ya watu wengine? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For what hath the wise more than the fool? what hath the poor, that knoweth to walk before the living?

In Context

7Juhudi zote za binadamu ni kwa ajili ya kinywa chake, 2 hata hivyo hamu yake kamwe haitoshelezwi. 1

9Ni bora kile ambacho jicho linakiona 2 kuliko hamu isiyotoshelezwa. 1 Hili nalo ni ubatili, 2 ni kukimbiza upepo. 1

Read all of Mhubiri 6

Cross References

Genesis 17:1Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi; + 17:1 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu.

Psalms 116:9ili niweze kutembea mbele za Bwana, 2 katika nchi ya walio hai. 1

Ecclesiastes 2:14Mtu mwenye hekima ana macho katika kichwa chake, 2 lakini mpumbavu anatembea gizani; 1 lakini nikaja kuona kwamba 2 wote wawili hatima yao inafanana.

Luke 1:6Zekaria na Elizabeti mkewe wote walikuwa watu wanyofu mbele za Mungu, wakizishika amri zote za Bwana na maagizo yote bila lawama.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 6:7Mhubiri 6Mhubiri 6:9 →