The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 6 › Mhubiri 6:9

Mhubiri 6:9

Ni bora kile ambacho jicho linakiona 2 kuliko hamu isiyotoshelezwa. 1 Hili nalo ni ubatili, 2 ni kukimbiza upepo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Better is the sight of the eyes than the wandering of the desire: this is also vanity and vexation of spirit.

In Context

8Mtu mwenye hekima ana faida gani 2 zaidi ya mpumbavu? 1 Mtu maskini anapata faida gani 2 kwa kujua jinsi ya kujistahi 2 mbele ya watu wengine? 1

10Lolote lililopo limekwisha kupewa jina, 2 naye mwanadamu alivyo ameshajulikana; 1 hakuna mtu awezaye kushindana 2 na mwenye nguvu kuliko yeye. 1

Read all of Mhubiri 6

Cross References

Job 31:7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, 2 kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, 2 au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 1

Ecclesiastes 1:2“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” 2 Mhubiri anasema. 1 “Ubatili mtupu! 2 Kila kitu ni ubatili.” 1

Ecclesiastes 1:17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo. 1

Ecclesiastes 2:22Mtu atapata nini kwa taabu yote na kuhangaika kwa bidii katika kazi anayotaabikia chini ya jua?

Ecclesiastes 4:4Tena nikaona kuwa kazi zote na mafanikio yote huchipuka kutokana na wivu wa mtu kwa jirani yake. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo. 1

Ecclesiastes 6:2Mungu humpa mwanadamu utajiri, mali na heshima, hivyo hakukosa chochote moyo wake unachokitamani. Lakini Mungu hamwezeshi kuvifurahia, badala yake mgeni ndiye anayevifurahia. Hili ni ubatili, ni ubaya unaosikitisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 6:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 6:8Mhubiri 6Mhubiri 6:10 →