Mhubiri 2:14
Mtu mwenye hekima ana macho katika kichwa chake, 2 lakini mpumbavu anatembea gizani; 1 lakini nikaja kuona kwamba 2 wote wawili hatima yao inafanana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Nikaona kuwa hekima ni bora kuliko upumbavu, 2 kama vile nuru ilivyo bora kuliko giza. 1
Cross References
Psalms 49:10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; 2 wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia 2 na kuwaachia wengine mali zao. 1
Proverbs 14:8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
Ecclesiastes 3:19Hatima ya mwanadamu ni kama ile ya wanyama; wote wana mwisho unaofanana: Jinsi anavyokufa mnyama, ndivyo anavyokufa mwanadamu. Wote wana pumzi inayofanana; mwanadamu hana cha zaidi kuliko mnyama. Kila kitu ni ubatili.
Ecclesiastes 6:8Mtu mwenye hekima ana faida gani 2 zaidi ya mpumbavu? 1 Mtu maskini anapata faida gani 2 kwa kujua jinsi ya kujistahi 2 mbele ya watu wengine? 1
Ecclesiastes 8:1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? 1 Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? 2 Hekima hungʼarisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake. 1 Mtii Mfalme
Ecclesiastes 9:2Wote wanayo hatima inayofanana, mwadilifu na mwovu, mwema na mbaya, aliye safi na aliye najisi, wale wanaotoa dhabihu na wale wasiotoa. 1 Kama ilivyo kwa mtu mwema, 2 ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye dhambi; 1 kama ilivyo kwa wale wanaoapa, 2 ndivyo ilivyo kwa wale wasioapa.