The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 7 › Mhubiri 7:14

Mhubiri 7:14

Nyakati zikiwa nzuri, ufurahi, 2 lakini nyakati zikiwa mbaya, tafakari: 1 Mungu amefanya hiyo moja, 2 naam, sanjari + 7:14 Sanjari hapa maana yake mwandamano wa vitu, wanyama au watu. na hiyo nyingine. 1 Kwa hiyo, mwanadamu hawezi kugundua 2 kitu chochote kuhusu maisha yake ya baadaye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the day of prosperity be joyful, but in the day of adversity consider: God also hath set the one over against the other, to the end that man should find nothing after him.

In Context

13Tafakari kile Mungu alichokitenda: 1 Nani awezaye kunyoosha 2 kile ambacho yeye amekipinda? 1

15Katika maisha haya yangu ya ubatili nimeshaona haya mawili: 1 mtu mwadilifu akiangamia katika uadilifu wake, 2 naye mtu mwovu akiishi maisha marefu katika uovu wake. 1

Read all of Mhubiri 7

Cross References

Deuteronomy 28:47Kwa sababu hukumtumikia Bwana Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wakati wa kufanikiwa kwako,

1 Kings 17:17Baada ya muda, mwana wa yule mwanamke mwenye nyumba akaugua. Hali yake ikaendelea kuwa mbaya sana, na hatimaye akaacha kupumua.

Job 2:10Akamjibu, “Unazungumza kama vile ambavyo mwanamke mpumbavu + 2:10 Mpumbavu hapa ina maana ya kupungukiwa maadili. yeyote angenena. Je, tupokee mema mikononi mwa Mungu, nasi tusipokee na udhia?” Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake. 1 Marafiki Watatu Wa Ayubu

Psalms 30:11Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, 2 ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe, 1

Psalms 94:12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe, 2 mtu unayemfundisha kwa sheria yako, 1

Ecclesiastes 3:4wakati wa kulia na wakati wa kucheka, 2 wakati wa kuomboleza na wakati wa kucheza, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 7:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 7:13Mhubiri 7Mhubiri 7:15 →