Ecclesiastes 7:13
Tafakari kile Mungu alichokitenda: 1 Nani awezaye kunyoosha 2 kile ambacho yeye amekipinda? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Consider the work of God: for who can make that straight, which he hath made crooked?
In Context
Cross References
Job 11:10“Kama akija na kukufunga gerezani, 2 na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga? 1
Job 34:29Lakini kama akinyamaza kimya, 2 ni nani awezaye kumhukumu? 1 Kama akiuficha uso wake, 2 ni nani awezaye kumwona? 1 Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 2
Psalms 8:3Nikiziangalia mbingu zako, 2 kazi ya vidole vyako, 1 mwezi na nyota, 2 ulizoziratibisha, 1
Ecclesiastes 1:15Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, 2 kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.
Isaiah 5:12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1
Isaiah 43:13Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. 1 Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa 2 kutoka mkononi wangu. 1 Mimi ninapotenda, 2 ni nani awezaye kutangua?” 1 Huruma Za Mungu, Na Kukosa Uaminifu Kwa Israeli 1