Mhubiri 7:16
Usiwe mwenye haki kupita kiasi, 2 wala usiwe na hekima kupita kiasi: 2 kwa nini kujiangamiza mwenyewe? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not righteous over much; neither make thyself over wise: why shouldest thou destroy thyself?
In Context
17Usiwe mwovu kupita kiasi, 2 wala usiwe mpumbavu: 2 kwa nini kufa kabla ya wakati wako? 1
Cross References
Job 11:12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, 2 endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. 1
Proverbs 23:4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, 2 uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 1
Ecclesiastes 12:12Tena zaidi ya hayo, mwanangu, kubali maonyo, hakuna mwisho wa kutunga vitabu vingi, nako kusoma sana huuchosha mwili. 1
Matthew 9:14Wanafunzi wa Yohana Mbatizaji wakaja na kumuuliza Yesu, “Imekuwaje kwamba sisi na Mafarisayo tunafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?”
Matthew 23:5“Wao hutenda mambo yao yote ili waonekane na watu. Hupanua vikasha vyao vyenye maandiko ya sheria na kurefusha matamvua ya mavazi yao.
Matthew 23:29“Ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, ninyi wanafiki! Mnajenga makaburi ya manabii na kuyapamba makaburi ya wenye haki.