Mithali 23:4
Usijitaabishe ili kuupata utajiri, 2 uwe na hekima kuonyesha kujizuia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Labour not to be rich: cease from thine own wisdom.
In Context
3Usitamani vyakula vyake vitamu 2 kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. 1
Cross References
Proverbs 3:5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote 2 wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 1
Proverbs 15:27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, 2 bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 1
Proverbs 27:24Kwa kuwa utajiri haudumu milele, 2 nayo taji haidumu vizazi vyote. 1
Ecclesiastes 5:13Nimeshaona uovu mzito chini ya jua: 1 Utajiri uliolimbikizwa kwa kujinyima 2 na kuleta madhara kwa mwenye mali, 1
Jeremiah 9:22Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Maiti za wanaume zitalala 2 kama mavi katika mashamba, 1 kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, 2 wala hakuna anayekusanya.’ ”
John 6:27Msishughulikie chakula kiharibikacho, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa. Yeye ndiye ambaye Mungu Baba amemtia muhuri.”