Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi, 2 wala usiwe mpumbavu: 2 kwa nini kufa kabla ya wakati wako? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be not over much wicked, neither be thou foolish: why shouldest thou die before thy time?
In Context
Cross References
Genesis 38:7Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana akamuua.
Job 15:32Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, 2 nayo matawi yake hayatastawi. 1
Psalms 55:23Lakini wewe, Ee Mungu, 2 utawashusha waovu katika shimo la uharibifu. 1 Wenye kiu ya kumwaga damu na wenye hila, 2 hawataishi nusu ya siku zao. 1 Lakini mimi ninakutumaini wewe.
Jeremiah 2:33Je, wewe una ustadi kiasi gani katika kufuatia mapenzi! 2 Hata wale wanawake wabaya kuliko wote 2 wanaweza kujifunza kutokana na njia zako. 1
Ezekiel 16:20“ ‘Nawe uliwachukua wanao na binti zako ulionizalia mimi na kuwatoa kafara kuwa chakula kwa sanamu. Je, ukahaba wako haukukutosha?
Acts 5:10Saa ile ile akaanguka chini miguuni mwake na kufa. Nao wale vijana wakaingia, wakamkuta amekufa, wakamchukua wakamzika kando ya mumewe.