Mhubiri 9:13
Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This wisdom have I seen also under the sun, and it seemed great unto me:
In Context
Cross References
Ecclesiastes 6:1Nimeona ubaya mwingine chini ya jua, nao unalemea sana wanadamu:
Ecclesiastes 8:16Nilipotafakari akilini mwangu ili nijue hekima na kuangalia kazi ya mwanadamu duniani, jinsi ambavyo macho yake hayapati usingizi mchana wala usiku,
Daniel 2:14Wakati Arioko, mkuu wa askari wa walinzi wa mfalme, alikuwa amekwenda kuwaua watu wenye hekima wa Babeli, Danieli akazungumza naye kwa hekima na busara.