Mhubiri 7:5
Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, 2 kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is better to hear the rebuke of the wise, than for a man to hear the song of fools.
In Context
Cross References
Psalms 69:12Wale wanaoketi mlangoni wananisimanga, 2 nimekuwa wimbo wa walevi. 1
Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1
Proverbs 13:18Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, 2 bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. 1
Proverbs 17:10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua 2 kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 1
Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.