Mhubiri 7:6
Kama ilivyo kuvunjika kwa miiba chini ya sufuria, 2 ndivyo kilivyo kicheko cha wapumbavu. 2 Hili nalo pia ni ubatili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For as the crackling of thorns under a pot, so is the laughter of the fool: this also is vanity.
In Context
5Afadhali kusikia karipio la mtu mwenye hekima, 2 kuliko kusikiliza wimbo wa wapumbavu. 1
7Dhuluma humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu, 2 nayo rushwa huuharibu moyo. 1
Cross References
Psalms 118:12Walinizunguka kama kundi la nyuki, 2 lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo; 2 kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali. 1
Ecclesiastes 2:2Nikasema, “Kicheko nacho ni upumbavu. Nayo matokeo ya anasa ni nini?”
Amos 8:10Nitageuza sikukuu zenu za kidini kuwa maombolezo, 2 na kuimba kwenu kote kuwe kilio. 1 Nitawafanya ninyi nyote mvae nguo ya gunia 2 na kunyoa nywele zenu. 1 Nitaufanya wakati ule uwe kama wa kuombolezea mwana wa pekee, 2 na mwisho wake kama siku ya uchungu. 1
Luke 16:25“Lakini Abrahamu akamjibu, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba wakati wa uhai wako ulipata mambo mazuri, lakini Lazaro alipata mambo mabaya. Lakini sasa anafarijiwa hapa na wewe uko katika maumivu makuu.
Jude 1:12Watu hawa ni dosari katika karamu zenu za upendo, wakila pamoja nanyi bila hofu, wakijilisha pasipo hofu. Wao ni mawingu yasiyokuwa na maji, yakichukuliwa na upepo, miti isiyo na matunda wakati wa mapukutiko, ambayo hunyauka, iliyokufa mara mbili na kungʼolewa kabisa.