Proverbs 13:18
Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu, 2 bali yeye anayekubali maonyo huheshimiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu, 2 bali mjumbe mwaminifu huleta uponyaji. 1
19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi, 2 bali wapumbavu huchukia sana kuacha ubaya. 1
Cross References
Proverbs 5:9usije ukatoa nguvu zako nzuri kwa wengine 2 na miaka yako kwa aliye mkatili, 1
Proverbs 12:1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, 2 bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 1
Proverbs 15:5Mpumbavu hubeza maonyo ya baba yake, 2 bali yeyote akubaliye maonyo huonyesha busara. 1
Proverbs 19:6Wengi hujipendekeza kwa mtawala 2 na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 1
Jeremiah 3:25Sisi na tulale chini katika aibu yetu, 2 na fedheha yetu itufunike. 1 Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wetu, 2 sisi na mababa zetu; 1 tangu ujana wetu hadi leo 2 hatukumtii Bwana Mungu wetu.”
Hebrews 12:25Angalieni, msije mkamkataa yeye anenaye. Ikiwa wao hawakuepuka adhabu walipomkataa yeye aliyewaonya hapa duniani, sisi je, tutaokokaje tusipomsikiliza yeye anayetuonya kutoka mbinguni?