Ecclesiastes 8:13
Lakini kwa sababu waovu hawamwogopi Mungu, hawatafanikiwa, maisha yao hayatarefuka kama kivuli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 14:2Huchanua kama ua kisha hunyauka; 2 huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu. 1
Job 20:5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1
Psalms 11:5Bwana huwajaribu wenye haki, 2 lakini waovu na wanaopenda jeuri, 2 nafsi yake huwachukia. 1
Psalms 39:5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; 2 muda wangu wa kuishi ni kama 2 hauna thamani kwako. 1 Maisha ya kila mwanadamu 2 ni kama pumzi. 1
Psalms 144:4Mwanadamu ni kama pumzi, 2 siku zake ni kama kivuli kinachopita. 1
Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1