The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 9 › Mhubiri 9:1

Mhubiri 9:1

Kwa hiyo niliyatafakari yote haya nikafikia uamuzi kwamba waadilifu na wenye hekima na yale wanayoyafanya yako mikononi mwa Mungu, lakini hakuna mtu ajuaye kama anangojewa na upendo au chuki.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For all this I considered in my heart even to declare all this, that the righteous, and the wise, and their works, are in the hand of God: no man knoweth either love or hatred by all that is before them.

In Context

2Wote wanayo hatima inayofanana, mwadilifu na mwovu, mwema na mbaya, aliye safi na aliye najisi, wale wanaotoa dhabihu na wale wasiotoa. 1 Kama ilivyo kwa mtu mwema, 2 ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye dhambi; 1 kama ilivyo kwa wale wanaoapa, 2 ndivyo ilivyo kwa wale wasioapa.

Read all of Mhubiri 9

Cross References

Deuteronomy 33:3Hakika ni wewe ambaye huwapenda watu, 2 watakatifu wako wote wamo mkononi mwako. 1 Miguuni pako wote wanasujudu 2 na kutoka kwako wanapokea mafundisho, 1

2 Samuel 15:25Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za Bwana, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake.

Job 12:10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, 2 na pumzi ya wanadamu wote. 1

Psalms 10:14Lakini wewe, Ee Mungu, unaona shida na huzuni, 2 umekubali kuyapokea mkononi mwako. 1 Mhanga anajisalimisha kwako, 2 wewe ni msaada wa yatima. 1

Psalms 37:5Mkabidhi Bwana njia yako, 2 mtumaini yeye, naye atatenda hili: 1

Psalms 73:11Wanasema, “Mungu awezaje kujua? 2 Je, Yeye Aliye Juu Sana anayo maarifa?” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 9:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Mhubiri 9Mhubiri 9:2 →