The Bible Software
bible.softwareMhubiriMhubiri 9 › Mhubiri 9:2

Mhubiri 9:2

Wote wanayo hatima inayofanana, mwadilifu na mwovu, mwema na mbaya, aliye safi na aliye najisi, wale wanaotoa dhabihu na wale wasiotoa. 1 Kama ilivyo kwa mtu mwema, 2 ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye dhambi; 1 kama ilivyo kwa wale wanaoapa, 2 ndivyo ilivyo kwa wale wasioapa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All things come alike to all: there is one event to the righteous, and to the wicked; to the good and to the clean, and to the unclean; to him that sacrificeth, and to him that sacrificeth not: as is the good, so is the sinner; and he that sweareth, as he that feareth an oath.

In Context

1Kwa hiyo niliyatafakari yote haya nikafikia uamuzi kwamba waadilifu na wenye hekima na yale wanayoyafanya yako mikononi mwa Mungu, lakini hakuna mtu ajuaye kama anangojewa na upendo au chuki.

3Huu ni ubaya ulio katika kila kitu kinachotendeka chini ya jua: Mwisho unaofanana huwapata wote. Zaidi ya hayo, mioyo ya watu, imejaa ubaya na kuna wazimu mioyoni mwao wangali hai, hatimaye huungana na waliokufa.

Read all of Mhubiri 9

Cross References

Genesis 24:3Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,

Joshua 2:17Wale watu wakamwambia, “Hiki kiapo ulichotuapisha hakitatufunga,

Job 9:22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1

Job 21:26Hao wote hulala mavumbini, 2 nao mabuu huwafunika wote. 1

Ecclesiastes 2:14Mtu mwenye hekima ana macho katika kichwa chake, 2 lakini mpumbavu anatembea gizani; 1 lakini nikaja kuona kwamba 2 wote wawili hatima yao inafanana.

Ecclesiastes 6:6Hata kama huyo mtu ataishi miaka elfu mara mbili na zaidi, lakini akashindwa kufurahia mafanikio yake, je, wote hawaendi sehemu moja? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 9:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 9:1Mhubiri 9Mhubiri 9:3 →