Mhubiri 9:12
Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja: 1 Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili, 2 au ndege wanaswavyo kwenye mtego, 1 vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya 2 zinazowaangukia bila kutazamia. 1 Hekima Ni Bora Kuliko Upumbavu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana:
Cross References
Psalms 11:6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1
Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1
Proverbs 7:22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1
Proverbs 29:6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe 2 bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi. 1
Ecclesiastes 8:8Hakuna mwanadamu 2 awezaye kushikilia roho yake asife, 1 wala hakuna mwenye uwezo 2 juu ya siku ya kufa kwake. 1 Kama vile hakuna yeyote arudishwaye nyuma wakati wa vita, 2 kadhalika uovu hautawaweka huru wale wautendao.
Isaiah 30:13dhambi hii itakuwa kwenu 2 kama ukuta mrefu, 2 wenye ufa na wenye kubetuka, 1 ambao unaanguka ghafula, 2 mara moja. 1