The Bible Software
bible.softwareEphesiansEphesians 1 › Ephesians 1:21

Ephesians 1:21

juu sana kuliko falme zote na mamlaka, enzi na milki, na juu ya kila jina litajwalo, si katika ulimwengu huu tu, bali katika ule ujao pia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Far above all principality, and power, and might, and dominion, and every name that is named, not only in this world, but also in that which is to come:

In Context

20aliyoitumia katika Kristo alipomfufua kutoka kwa wafu, na akamketisha mkono wake wa kuume huko mbinguni,

22Naye Mungu ameweka vitu vyote viwe chini ya miguu yake na amemfanya yeye awe kichwa cha vitu vyote kwa ajili ya Kanisa,

Read all of Ephesians 1

Cross References

Matthew 12:32Mtu yeyote atakayesema neno dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote anenaye neno dhidi ya Roho Mtakatifu hatasamehewa, iwe katika ulimwengu huu au katika ulimwengu ujao. 1 Mti Na Matunda Yake (Luka 6:43-45)

Matthew 28:18Yesu akawajia na kusema, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Acts 4:12Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.” 1 Ujasiri Wa Petro Na Yohana Washangaza Watu

Ephesians 3:10Ili sasa kwa njia ya Kanisa, hekima yote ya Mungu ipate kujulikana kwa watawala na wenye mamlaka katika ulimwengu wa roho,

Philippians 2:9Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, 2 na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 1

Colossians 2:10nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ephesians 1:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ephesians 1:20Ephesians 1Ephesians 1:22 →