The Bible Software
bible.softwareEphesiansEphesians 5 › Ephesians 5:21

Ephesians 5:21

Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Kristo. 1 Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Submitting yourselves one to another in the fear of God.

In Context

20siku zote mkimshukuru Mungu Baba kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

22Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana.

Read all of Ephesians 5

Cross References

1 Chronicles 29:24Maafisa wote na mashujaa, pamoja na wana wote wa Daudi, wakaahidi kumtii Mfalme Solomoni.

Nehemiah 5:9Basi nikaendelea kusema, “Mnachokifanya si sawa. Je, haikuwapasa kutembea katika hofu ya Mungu wetu ili tuepukane na shutuma za adui zetu wasioamini?

Proverbs 24:21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1

1 Corinthians 16:16mjitie katika kuwahudumia watu kama hawa na kila mmoja aingiaye kwenye kazi na kuifanya kwa bidii.

Galatians 5:13Ndugu zangu, ninyi mliitwa ili mwe huru, hivyo msitumie uhuru wenu kama fursa ya kufuata tamaa za mwili, bali tumikianeni ninyi kwa ninyi kwa upendo.

Ephesians 5:24Basi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Ephesians 5:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ephesians 5:20Ephesians 5Ephesians 5:22 →