Esta 4:14
Kwa kuwa kama utakaa kimya wakati huu, msaada na ukombozi kwa Wayahudi utatoka mahali pengine, lakini wewe na jamaa ya baba yako mtaangamia. Nani ajuaye kwamba hukuja kwenye nafasi ya mamlaka kwa ajili ya wakati kama huu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Kisha Esta alituma jibu hili kwa Mordekai:
Cross References
Genesis 45:4Ndipo Yosefu akawaambia ndugu zake, “Sogeeni karibu nami.” Waliposogea, akasema, “Mimi ni ndugu yenu Yosefu, yule ambaye mlimuuza Misri!
Numbers 23:22Mungu aliwatoa kutoka Misri; 2 wao wana nguvu za nyati. 1
Deuteronomy 32:36Bwana atawahukumu watu wake, 2 na kuwahurumia watumishi wake 1 atakapoona nguvu zao zimekwisha 2 wala hakuna yeyote aliyebaki, 2 mtumwa au aliye huru. 1
Judges 15:6Ndipo Wafilisti wakauliza, “Ni nani aliyetenda jambo hili?” Wakaambiwa, “Ni Samsoni, yule mkwewe Mtimna, kwa sababu alimchukua mkewe akampa mwenzake.” Hivyo Wafilisti wakapanda wakamteketeza kwa moto yeye huyo mwanamke pamoja na baba yake.
1 Samuel 17:29Daudi akasema, “Sasa nimefanya nini? Je, siwezi hata kuongea.”
Ezra 9:9Ingawa tu watumwa, Mungu wetu hajatuacha katika kufungwa kwetu. Ametuonyesha huruma mbele ya wafalme wa Uajemi: Ametujalia maisha mapya kwa kujenga upya nyumba ya Mungu wetu na kukarabati magofu yake, naye ametupa ukuta wa ulinzi katika Yuda na Yerusalemu.