The Bible Software
bible.software › Esta › Esta 5 › Esta 5:11

Esta 5:11

Hamani akajisifia kwao juu ya utajiri wake mwingi, wanawe wengi na kwa njia zote ambazo mfalme amemheshimu kwazo na jinsi alivyomweka juu ya wakuu na maafisa wengine.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Haman told them of the glory of his riches, and the multitude of his children, and all the things wherein the king had promoted him, and how he had advanced him above the princes and servants of the king.

In Context

10Hata hivyo, Hamani alijizuia akaenda zake nyumbani. Akawaita pamoja rafiki zake na Zereshi, mkewe.

12Hamani akaongeza, “Si hayo tu. Mimi ndiye mtu pekee ambaye Malkia Esta amemwalika kumsindikiza mfalme kwenye karamu aliyomwandalia. Naye amenialika pamoja na mfalme kesho.

Read all of Esta 5

Cross References

Esther 1:4Kwa siku zote 180 mfalme alionyesha utajiri mwingi wa ufalme wake, fahari na utukufu wa enzi yake.

Esther 9:7Pia waliwaua Parshendatha, Dalfoni, Aspatha,

Esther 9:12Mfalme akamwambia Malkia Esta, “Wayahudi wamewaua wanaume 500 na wana kumi wa Hamani ndani ya ngome ya Shushani. Wamefanyaje katika majimbo mengine ya mfalme yaliyobaki? Je, sasa haja yako ni nini? Nayo pia utapewa. Nalo ombi lako ni nini? Nalo utafanyiwa.”

Job 31:24“Kama nimeweka tumaini langu kwenye dhahabu, 2 au kuiambia dhahabu safi, ‘Wewe ndiwe salama yangu,’ 1

Psalms 49:7Hakuna mwanadamu awaye yote 2 awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, 2 au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 1

Psalms 52:9Nitakusifu milele kwa yale uliyoyatenda, 2 nitatumaini jina lako, kwa kuwa jina lako ni jema. 2 Nitakusifu mbele ya watakatifu wako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Esta 5:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Esta 5:10Esta 5Esta 5:12 →