Esta 5:12
Hamani akaongeza, “Si hayo tu. Mimi ndiye mtu pekee ambaye Malkia Esta amemwalika kumsindikiza mfalme kwenye karamu aliyomwandalia. Naye amenialika pamoja na mfalme kesho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 8:12Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, 2 hunyauka haraka kuliko majani mengine. 1
Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Proverbs 27:1Usijisifu kwa ajili ya kesho, 2 kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja. 1
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.