Esther 6:13
naye akamweleza Zereshi mkewe pamoja na rafiki zake wote kila kitu ambacho kimempata. Washauri wake pamoja na Zereshi mkewe wakamwambia, “Kwa kuwa Mordekai, ambaye mbele yake umeanza kuanguka ni wa asili ya Kiyahudi, huwezi kushindana naye; kwa hakika utaanguka!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 41:8Asubuhi yake, alifadhaika akilini, hivyo akawaita waaguzi wote pamoja na watu wenye busara wa Misri. Walipokuja, Farao akawaeleza ndoto zake, lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kumfasiria.
Deuteronomy 32:10Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1
Esther 5:10Hata hivyo, Hamani alijizuia akaenda zake nyumbani. Akawaita pamoja rafiki zake na Zereshi, mkewe.
Job 16:2“Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, 2 nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! 1
Proverbs 28:18Yeye ambaye mwenendo wake hauna lawama 2 hulindwa salama, 1 bali yeye ambaye njia zake ni potovu 2 ataanguka ghafula. 1
Daniel 5:26“Hii ndiyo maana ya maneno haya: 1 “ Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 1