The Bible Software
bible.softwareJobJob 16 › Job 16:2

Job 16:2

“Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, 2 nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have heard many such things: miserable comforters are ye all.

In Context

1Kisha Ayubu akajibu: 1

3Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? 2 Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? 1

Read all of Job 16

Cross References

Job 6:6Je, chakula kisicho na ladha huliwa bila chumvi, 2 au upo utamu katika ute mweupe wa yai? 1

Job 11:2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? 2 Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 1

Job 19:2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, 2 na kuniponda kwa maneno yenu? 1

Job 26:2“Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! 2 Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! 1

Philippians 1:16Hawa wa mwisho wanamhubiri Kristo kwa moyo wa upendo, wakifahamu kwamba nimo humu gerezani kwa ajili ya kuitetea Injili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 16:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 16:1Job 16Job 16:3 →