The Bible Software
bible.softwareEstaEsta 8 › Esta 8:16

Esta 8:16

Kwa maana kwa Wayahudi ulikuwa wakati wa raha na furaha, shangwe na heshima.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Jews had light, and gladness, and joy, and honour.

In Context

15Mordekai akaondoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme ya buluu na nyeupe, taji kubwa la dhahabu na joho la zambarau la kitani safi. Na mji wa Shushani ukasherehekea kwa furaha.

17Katika kila jimbo na katika kila jiji, popote waraka wa mfalme ulipofika, kulikuwepo furaha na shangwe miongoni mwa Wayahudi, pamoja na karamu na kushangilia. Na watu wengi wa mataifa mengine wakajifanya Wayahudi kwa sababu ya kuwahofu Wayahudi.

Read all of Esta 8

Cross References

Esther 4:1Mordekai alipojua yote yaliyokwisha kufanyika, alirarua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia na kujipaka majivu, akaenda mjini, akiomboleza kwa sauti na kwa uchungu.

Esther 9:17Hili lilitendeka siku ya kumi na tatu ya mwezi wa Adari na siku ya kumi na nne walipumzika na kuifanya siku ya karamu na furaha. 1 Kusherehekea Purimu

Psalms 30:5Kwa maana hasira yake ni ya muda mfupi, 2 bali upendo wake hudumu siku zote. 1 Inawezekana kilio kiwepo usiku kucha, 2 lakini asubuhi kukawa na furaha. 1

Psalms 97:11Nuru huangaza wenye haki 2 na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 1

Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1

Proverbs 28:12Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, 2 bali waovu watawalapo, watu hujificha. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Esta 8:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Esta 8:15Esta 8Esta 8:17 →