Proverbs 4:18
Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the path of the just is as the shining light, that shineth more and more unto the perfect day.
In Context
17Wanakula mkate wa uovu, 2 na kunywa mvinyo wa jeuri. 1
19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
Cross References
2 Samuel 23:4yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo 2 asubuhi isiyo na mawingu, 1 kama mwanga baada ya mvua 2 uchipuzao majani kutoka ardhini.’ 1
Job 23:10Lakini anaijua njia niiendeayo; 2 akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 1
Psalms 97:11Nuru huangaza wenye haki 2 na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 1
Isaiah 26:7Mapito ya wenye haki yamenyooka. 2 Ewe uliye Mwenye Haki, 2 waisawazisha njia ya mtu mnyofu. 1
Hosea 6:3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1
Matthew 5:14“Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika.