Exodus 10:13
Kwa hiyo Mose akanyoosha fimbo yake juu ya Misri, Bwana akauleta upepo wa mashariki ukavuma katika nchi yote mchana wote na usiku kucha, kufikia asubuhi upepo ukawa umeleta nzige.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 41:6Baadaye, masuke mengine saba yakachipua, yakiwa membamba yaliyonyaushwa na upepo wa mashariki.
Psalms 78:26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu 2 na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 1
Psalms 107:25Kwa maana alisema na kuamsha tufani 2 iliyoinua mawimbi juu. 1
Proverbs 30:27Nzige hawana mfalme, 2 hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 1
Jonah 4:8Wakati jua lilipochomoza, Mungu akautuma upepo wa hari wa mashariki, nalo jua likawaka juu ya kichwa cha Yona mpaka akazimia. Akatamani kufa, naye akasema, “Ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”