Joel 2:20
“Nitafukuza jeshi la kaskazini likae mbali nanyi, 2 nikilisukuma ndani ya jangwa, 1 askari wa safu za mbele wakienda 2 ndani ya bahari ya mashariki 1 na wale wa safu za nyuma 2 katika bahari ya magharibi. 1 Uvundo wake utapaa juu; 2 harufu yake itapanda juu.” 1 Hakika ametenda mambo makubwa. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Usiogope, ee nchi; 2 furahi na kushangilia. 1 Hakika Bwana ametenda mambo makubwa. 2
Cross References
Exodus 10:19Naye Bwana akaugeuza upepo ukavuma kutoka magharibi, wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka kwenye Bahari ya Shamu. Hakuna nzige hata mmoja aliyebaki popote katika nchi ya Misri.
2 Kings 8:13Hazaeli akasema, “Itawezekanaje mtumishi wako, aliye mbwa tu, kufanya tendo la ajabu namna hiyo?” Elisha akamjibu, “ Bwana amenionyesha kuwa utakuwa mfalme wa Aramu.”
Isaiah 34:3Waliouawa watatupwa nje, 2 maiti zao zitatoa uvundo, 2 milima itatota kwa damu zao. 1
Ezekiel 39:12“ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi.
Ezekiel 47:18Upande wa mashariki mpaka utapita kati ya Haurani na Dameski, kuambaa Yordani na kati ya Gileadi na nchi ya Israeli, hadi bahari ya mashariki + 47:18 Bahari ya mashariki hapa ina maana ya Bahari ya Chumvi. na kufika Tamari. Huu utakuwa ndio mpaka wa mashariki. 1
Joel 2:2siku ya giza na huzuni, 2 siku ya mawingu na utusitusi. 1 Kama mapambazuko yasambaavyo 2 toka upande huu wa milima 2 hata upande mwingine 2 jeshi kubwa na lenye nguvu linakuja. 1 Jambo kama hili halijakuwepo tangu zamani 2 wala halitakuwepo tena kamwe 2 kwa vizazi vijavyo. 1