Kutoka 11:6
Patakuwepo kilio kikubwa katika nchi yote ya Misri, kilio kibaya ambacho hakijakuwepo wala kamwe hakitakuwepo tena.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 9:18Kwa hiyo, kesho wakati kama huu nitaleta mvua mbaya sana ya mawe ambayo haijapata kunyesha katika nchi ya Misri, tangu siku ilipoumbwa mpaka leo.
Proverbs 21:13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, 2 yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 1
Isaiah 15:8Mwangwi wa kilio chao umefika hadi mpakani mwa Moabu, 2 kilio chao cha huzuni kimefika hadi Eglaimu, 2 maombolezo yao hadi Beer-Elimu. 1
Jeremiah 31:15Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Sauti imesikika huko Rama, 2 maombolezo na kilio kikubwa, 1 Raheli akiwalilia watoto wake 2 na anakataa kufarijiwa, 2 kwa sababu watoto wake hawako tena.”
Amos 5:17Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu, 2 kwa kuwa nitapita katikati yenu,” 4 asema Bwana. 1 Siku Ya Bwana 1
Luke 13:28“Ndipo kutakuwako kilio na kusaga meno, mtakapowaona Abrahamu, Isaki, Yakobo na manabii wote wakiwa katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi mkiwa mmetupwa nje.