Proverbs 21:13
Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, 2 yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whoso stoppeth his ears at the cry of the poor, he also shall cry himself, but shall not be heard.
In Context
12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, 2 naye atawaangamiza waovu. 1
Cross References
Nehemiah 5:1Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi.
Psalms 18:41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; 2 walimlilia Bwana, lakini hakuwajibu. 1
Proverbs 1:28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; 2 watanitafuta lakini hawatanipata. 1
Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2
Jeremiah 34:16Lakini sasa mmegeuka na kulinajisi jina langu. Kila mmoja wenu amemrudisha mtumwa wa kiume na wa kike ambao mlikuwa mmewaacha huru waende zao walikotaka. Mmewalazimisha kuwa watumwa wenu tena.
Matthew 6:14Kwa kuwa kama mkiwasamehe watu wengine wanapowakosea, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi pia.