The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 15 › Exodus 15:21

Exodus 15:21

Miriamu akawaimbia: 1 “Mwimbieni Bwana, 2 kwa maana ametukuka sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini.” 1 Maji Ya Mara Na Elimu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Miriam answered them, Sing ye to the LORD, for he hath triumphed gloriously; the horse and his rider hath he thrown into the sea.

In Context

20Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.

22Kisha Mose akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji.

Read all of Exodus 15

Cross References

Exodus 15:4Magari ya vita ya Farao na jeshi lake 2 amewatosa baharini. 1 Maafisa wa Farao walio bora sana 2 wamezamishwa katika Bahari ya Shamu. 1

1 Samuel 18:7Walipokuwa wanacheza, wakaimba: 1 “Sauli amewaua elfu zake, 2 naye Daudi makumi elfu yake.”

Psalms 24:7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 inukeni enyi milango ya kale, 2 ili mfalme wa utukufu apate kuingia. 1

Isaiah 5:1Nitaimba wimbo kwa ajili ya mmoja nimpendaye, 2 kuhusu shamba lake la mizabibu: 1 Mpendwa wangu alikuwa na shamba la mizabibu 2 kwenye kilima chenye rutuba. 1

Revelation 7:10Nao walikuwa wakipiga kelele kwa sauti kubwa wakisema: 1 “Wokovu una Mungu wetu, 2 yeye aketiye kwenye kiti cha enzi, 2 na Mwana-Kondoo!”

Revelation 15:3Nao wakaimba wimbo wa Mose, mtumishi wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema: 1 “ Bwana Mungu Mwenyezi, 2 matendo yako ni makuu na ya ajabu. 1 Njia zako wewe ni za haki na za kweli, 2 Mfalme wa nyakati zote! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 15:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 15:20Exodus 15Exodus 15:22 →